Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » » HUSSEIN MACHOZI ANASWA NA PENZ LA MZUNGU, AMTELEKEZA MKEWE.


Baada ya mwanamuziki Hussein Machozi kudaiwa kumtelekeza mkewe aliyemuoa nchini Kenya, hivi karibuni picha yake imenaswa akiwa kimahaba na mchepuko wa Kizungu.
Mwanamuziki Hussein Machozi akiwa kimahaba na mchepuko wa Kizungu.
Picha hiyo inamuonesha Hussein akiwa kifua wazi huku mwanamke huyo akimchezea kifua sambamba na kumng’atang’ata shingoni na Ijumaa liliipata kupitia kwa rafiki wa msanii huyo aliyeomba asitajwe.
“Huyo Mzungu ndiye anatoka na Hussein kwa sasa ila zaidi mtafutani mwenyewe,” alisema mtoa habari huyo kwa ufupi.
Hussein Machozi akiwa katika pozi.
Baada ya kuinyaka ishu hiyo Ijumaa lilimtafuta Hussein na alipopatikana alifunguka:
“Huyu Mzungu ni mtu wangu kweli na tuna mipango yetu ila siyo muda muafaka kuianika, lakini nyie mmeipata wapi? Kama vipi ichunieni.”

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga