Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » WAREMBO HAWA MAPACHA WAKUBALI KUOLEWA NA MWANAUME MMOJA


Owami na olwethu Mzazi,mapacha wenye
umri wa miaka 26 ,kutoka Vosloorus ,Afrika
Kusini, hivi karibuni wamefunga ndoa na
mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la
Mzukiseni Mzazi mwenye miaka 51.
Walipoulizwa na jarida moja nchini Afrika
Kusini ,kwanini wameamua kuolewa na
mwanaume mmoja,mapacha hao walisema
wamekuwa wakishare kila kitu tangu
walipokuwa na umri mdogo.

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga