Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

WEMA NA ZARI WA KIPINDI HICHOO, NANI MKALI?



Haya ni maisha bwana leo mtu yupo hivi kisho ivi na weza sema auwezi aminikama awa ndio wanao kimbiza bongo kipindi hiki chote ila uku ndiko waliko tokea kimaisha

ZARI 
WEMA SEPETU 

WEMA BADO ANAMPENDA DIAMOND PLATNUMZ, AWEKA VIDEO YA JAMAA AKIWA KIFUA WAZI NA KUSEMA HAYA....



Leo mwanadada wema sepetu amezidi kuudhihirishia ulimwengu wa fans wake kuwa kijana raisi wa wasafi aka Diamond Platnumz ndio mahabuba wake baada ya kupost video ya mwanamuziki huyo akiwa kitandani kifua wazi kabisaaa huku akiandika “In da middle of his writing session…jus had to distrub him a little”. Mmmh hatari sana!

WEMA SEPETU NA OMMY DIMPOZ NI FULL KUPIKIANA NA KUPAKUA




Wakati mwanamziki wa Bongo Fleva,Ommy Dimpoz akiendelea kupepesa macho na kutikisa masikio kukanusha kuwa hana mahusiano ya kimap3nzi na mwingizaji wa Bongo Movie, Wema Sepetu ukaribu wao bado unatia mashaka na kuendeleza sintofahamu miongoni mwa mashabiki na wapambe wao.
Japo kuwa Ommy alielezakuwa yeye na Wema ni marafiki toka kitambo kabla hata ya wema kuwa na mahusiano na mwanamziki Diamond, lakini hii imezidiii.

Mbali na kuonekana wawili hawa kuwa pamoja sehemu mablimbali za starehe toka Ommy atoke Marekani, hili la kupikiwa na kupakuliwa nyumbani kwa  Wema ndio limezidi kuchochea hisia kuwa wawili hao wanamahusiano zaidi ya USHKAJI.
 
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram mwanadada Wema ambae na folloers zaidi ya laki nne , alibandika picha hiyo hapo juu akionekana kumpakulia chakula ambacho alijisifia ni kizuri na amekipika mwenyewe na kumtania Ommy kuwa alikuwa analeta pozi kwenye kula.
“Dat moment anapokuja home and umepika chakula alafu analeta pozi at first then unashangaa anaenda sahani mbili.... Talk About Good Food Made Real Good”- Wema aliandika mara baada ya kutupia picha hiyo.
 
Japo kuwa hadi sasa mwanadada Wema Sepetu ajajitokeza kukataa au kukubali juu ya yeye kuwa na mahusiano na Ommy lakini idadi kubwa ya wampambe wake mitandaoni na ifagilia sana hii “Couple”.

KUMBE DIMPOZ NI KUWADI WA KIGOGO ANAE MMILIKI WEMA SEPETU KWA SASA.


HABARI ya mjini ni kwamba, lile p3nzi linalonadiwa la Mbongo-Fleva, Omary Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ na mwigizaji Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ limejaa magumashi, ikidaiwa kuwa jamaa huyo kawekwa kama boya tu, nyuma yake kuna kigogo mzito serikalini ndiye anayekula vinono, Risasi Jumamosi limetonywa.
Mbongo-Fleva, Omary Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ akiwa na mwigizaji Wema Isaac Sepetu ‘Madam’.
Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika, Dimpoz ameagizwa na kigogo huyo awe mp3nzi kivuli wa Wema ili kuzuga watu wasishtukie mchezo kama yeye ndiye anayesukuma gududumu la malovee kwa Madam.
“Kutokana na unyeti wa kazi yake, jamaa hataki kujitokeza ‘front’ ndiyo maana ameamua kumtumia Dimpoz kama kanyaboya huku yeye akiendelea kula vyake,” kilisema chanzo hicho.Kikizidi kumwaga ubuyu, chanzo hicho kilidai kigogo huyo ndiye anayedhamini safari zote za Wema na Dimpoz nje ya nchi ikiwemo ile ya juzikati nchini Marekani ambayo ilibuma.
“Jamaa ana pesa chafu, amemnunulia Wema viwanja viwili kimoja kipo Tabata na kingine Kigamboni, Dar, ndiye anayemwezesha Wema katika shughuli zake za kila siku.“Kigogo huyo ndiye chanzo cha Wema kummwaga Diamond, alimpotezea kwa sababu ya maslahi zaidi, hata kwenye bethidei ya Wema mwaka jana, kigogo huyo ndiye aliyegharamia vitu kibao hadi kusababisha Diamond ahoji,” kilisema chanzo chetu.
Jitihada za kumsaka kigogo huyo ili azungumzie ishu hiyo hazikuzaa matunda lakini alipotafutwa Dimpoz na kusomewa tuhuma hizo, alijibu:“Watu watambue kuwa uhusiano wangu na Wema upo kwa ajili ya ‘project’ zangu, niacheni please niinjoi maisha yangu kuhusu huyo kigogo muulizeni vizuri Wema mwenyewe,” alisema Dimpoz.
Mwanahabari wetu alipomvutia waya Wema, alijibu kwa kifupi na kukata simu:
“Ujue sasa hivi mimi sitaki malumbano na mtu, najua kila mtu siku hizi anaongea kila anachojisikia, naomba niachwe na maisha yangu, unayoyasema hayana maana,  wanasema kwa sababu hakuna anayemjua mp3nzi wangu wa sasa sina muda wa kubishana.”
Hivi karibuni, wakiwa Sauz, Wema na Dimpoz, picha zao wakiwa kimahaba zilivuja mitandaoni hivyo kuibuka gumzo kuwa huenda kwa sasa nao wanatoka.

ZARI APONDWA KWA KUPENDA KUMUIGA IGA WEMA SEPETU


Cheni na pete alizojinunuliwa Wema Sepetu siku za Nyuma
Baada ya Zari Kupost Picha Akionyesha Pete na Cheni ya Dhahabu aliyonunuliwa na Mp3nzi wake Diamond Kama zawadi huko Instagram limezuka jambo mashabiki wa Wema wakisema Anamwiga mtu wao kila anachofanya …Jisomee hapa huyu ni Shabiki mkubwa wa Wema Amendika hivi :
Mtaawapili

“Bibi zaituni acha tabia zako za copy na kupaste sio kila anachofanya wema na lazima ufanye utaumbuka bure…..nyie team nyoko nyoko ebu tafuteni kitu cha kufanya au mwambeni huyo bosslady awape kazi ya kufua ile sidiria kauka ni kuvae mfyuuuuu.hivi nyie mnajuwa kama wema anapenda gold sana na anazo nyingi mno.alipokuwa ck alipelekwa dubai kununuwa gold tu Google utaona .kama mtakumbuka vizuri wema na domo walikuwa china walinunua gold za gram 50 kila mtu

UJAUZITO WA WEMA SEPETU, NI MWENDO WA MADERA.



haya sasa yasemekana nae Wema Sepetu wa sepetunga naye ni mjamzito makubwa haya, i was so shocked after seeing one among the the big fun of wemasepetu On instagram after posting the photos za wema sepetu huku akiwa wema wamemshikilia tumbo ikiwa ni kama ishara yakuwa mimba inakuwa, kitendo hicho kiliwashtusha mashabiki wengi wa diamond the platnum,zari pamoja na wa wema.

 chakushangaza mpaka dakika hii wema mwenyew hajasema chochote kuhusiana na hilo na wala hajaconfirm kama ana mimba, na mimba hiyo ni ya nani? Is it drama au project nobody knows let us wait n see...

ILE VIDEO YA WEMA NA DIMPOZ WAKIPEANA "MABUSU" HII HAPA


Haya jionee mwenyewe, mahaba hayo ya vijana wetu, wameitupia hiyo video waki deka deka kimahabati...... lol.!!! Iangalie video hiyo hapo chini:-

WEMA NAE ANATISHIA UJAUZITO!! SIJUI WA DIMPOZ AU.....?


Hizi ni picha za mwigizaji Wema Sepetu ambazozinasamabaa kwa kasi huko Instagramzikionyesha watu wakiwa wamemshika tumbokwa nyataki tofauti huku wote sura zao zikiwahazionekani....Moja kati ya akaunti kwenye mtandao huoinayoendeshwa na shabiki mkubwa wa Wema,inayokwenda kwa jina la 

WEMADAILY, ilizitupiapicha hizi na kuandika mameno “ kuachilia kuwa anataka aseme jambo nakum “tag”Wema.Baada ya muda kidogo akaibuka tena na kutupiapicha nyingine nakusema ameambiwaasitoboe. 

Akaunti hii ndio ilikuwa ya kwanza kutoa picha za Wema akiwa na mp3nzi wake mpya Ommy Dimpoz.Comments za mashabiki ndio zilizoshtua watukwani karibu watu wote walikuwa wakifurahia na
kupongeza ‘Madame’kwa kupata katumbo nawengine wakilalamika kuwa kitaanza kumuhalibiamagauni MISS wao.
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga