Latest
Tafuta Hapa
Kali za Facebook
Labels
- Agness Masogange (5)
- Aisha Bui (1)
- Ajali (5)
- Ali Kiba (5)
- Aunty Ezekiel (8)
- Baby Madaha (2)
- Batuli (2)
- Bob Junior (2)
- Bongo Flavor (35)
- Bongo Movie (46)
- Chriss Brown (1)
- Dawa za Kulevya (2)
- Diamond Platnumz (47)
- Drake (1)
- Dully Sykes (1)
- Elizabeth Michael (3)
- Escrow (9)
- featured (24)
- Fumanizi (11)
- Gardner (1)
- Geor Davie (1)
- Global Publishers. (18)
- Habari Picha (78)
- Habari za Kimataifa (209)
- Habari za Kitaifa (216)
- Halima Ally (1)
- Hamisa Mobeto (1)
- Huddah Monroe (1)
- Irene Uwoya (3)
- Jacqueline Wolper (4)
- Jamii Forums (79)
- Jokate (1)
- Kajala Masanja (5)
- Lady Jay Dee (6)
- Lilian Kamazima (1)
- Lulu (5)
- Magazeti na Picha (2)
- Mainda (1)
- Maisha (66)
- Malick Bandawe (2)
- Mapenzi (197)
- Maunda Zorro (1)
- Michezo na Burudani (72)
- Miss Tanzania (9)
- Mpira (6)
- Mr Blue (1)
- Muziki (12)
- Mwana Fa (1)
- Ney wa Mitego (1)
- Nyota wa Bongo (120)
- Ommy Dimpoz (9)
- Original Comedy (1)
- P Square (1)
- Picha za Utupu (46)
- Ray C (1)
- Rihanna (1)
- Rose Ndauka (2)
- Sabby Angel (2)
- Shetta (1)
- Shilole (3)
- Sitti Mtemvu (6)
- Udaku Magazetini (37)
- Udaku wa Africa (234)
- Udaku wa Tanzania (253)
- Udaku wa TZ na Africa (21)
- Udaku wa Ulaya (189)
- Ufuska (152)
- Uhuru Kenyatta (1)
- Ujana (35)
- Urembo (11)
- Uswazi. (32)
- Video (9)
- Wasanii (54)
- Wema Sepetu (36)
- Zari The Boss Lady (29)
- Zitto Kabwe (1)
Feature
Udaku wa Africa
Habari za Kimataifa
Habari za Kitaifa
Mapenzi
Michezo na Burudani
Udaku wa Ulaya
-->
Nyota wa filamu za Kibongo nchini, Steve Mengele, maarufu kama Steve Nyere amekutwa na mkasa wa aina yake pale alipopata ajali jumatatu ya wiki iliyopita maeneo ya kijitonyama ambapo Steve akiwa ndani ya gari yake aina ya Toyota Verosa aliligonga gari lililokuwa limesimama ghafla mbele yake aina ya Toyota Fun Cargo na kulisababisha litumbikie mtaroni. Baada ya tukio kulitokea majibizano baina ya madereva hao ambapo walipofika askari kutuliza ghasia inasemekana kulitokea kupishana kauli kati ya askari na nyota huyo ndipo alipopigwa "Tanganyika jeki" na kupelekwa kituoni,
Sista Aliyefumaniwa Atozwa Faini ya Laki Saba
Fumanizi, Mapenzi, Udaku wa Tanzania
MAHAKAMA ya Mwanzo mjini hapa, imemtia hatiani aliyekuwa mtawa wa Shirika la Kitawa la Kanisa Katoliki Jimbo la Sumbawanga, Sista Yasinta Sindani, kwa kufumaniwa na mume wa mtu na kuamriwa kumlipa fidia ya Sh 700,000 mlalamikaji.
Katika kesi ya msingi ya madai, mlalamikaji Asteria Mgabo alimtaka Sista Yasinta amlipe Sh milioni 3 baada ya kumfumania na mumewe wa ndoa, Martin Msangawale (39) ambaye pia ni mkazi wa mjini hapa.
-->
Sista huyo ambaye ni daktari katika Hospitali ya Mkoa wa Rukwa mjini hapa, kwa sasa anaishi nje ya nyumba ya utawa eneo la Kantalamba.Katika hati ya awali ya madai, inadaiwa mshitakiwa alifumaniwa na Asteria akiwa na mumewe Msangawale wakiwa kwenye nyumba ya kulala wageni ijulikanayo kwa jina la Chipa iliyopo eneo la Katandala mjini hapa, Desemba 24 mwaka jana majira ya saa 7 usiku ikiwa ni siku ya mkesha wa Sikukuu ya Krismas.
Akisoma hukumu hiyo juzi, hakimu wa mahakama hiyo, Jaffar Mkinga alisema kuwa ushahidi uliotolewa na mlalamikaji ulikuwa mzito wenye kuondoa shaka zote kuwa mdaiwa alitenda kosa hilo tofauti na utetezi uliotolewa na mdai kuwa ulikuwa dhaifu.
Awali katika utetezi wake mdaiwa aliiambia mahakama hiyo kuwa kwanza alikuwa hajui kuwa Martin alikuwa mume wa mtu na kukiri mbele ya mahakama hiyo kuwa alimweleza kuwa hana mke hivyo alimwomba amuoe. Lakini Hakimu Mkinga alipinga utetezi huo kwa sababu usiku huo wa mkesha wa Krismas mwaka jana, saa saba na robo usiku, mlalamikaji akiongozana na mwenyekiti wa mtaa wakiwa na mashahidi wengine watatu, walimkuta mdaiwa na Martin wakitoka katika moja ya vyumba katika nyumba ya kulala wageni ya Chipa, akasainishwa.
“Kama hukufahamu kuwa Martin alikuwa hana mke ilikuwaje ukakubali kusaini karatasi hiyo ya fumanizi iliyoandaliwa na mwenyekiti huyo?” alihoji hakimu, akamhukumu kulipa sh 700,000.
source: mpekuz
Mama aliyemtesa mtoto ahukumiwa
Habari za Kitaifa, Magazeti na Picha, Udaku Magazetini
HATIMAYE haki imetendeka, hayo ni maneno waliyoyasema baadhi ya wakazi wa Mbeya waliohudhuria katika Mahakama ya Wilaya na kushuhudia Wilvina Mkandara (24) akihukumiwa kifungo cha maisha jela kutokana na kesi iliyokuwa inamkabili ya kumtesa hadi kumsababishia ulemavu mtoto, Aneth Johannes (4) aliyekuwa akimlea.
--> Mara baada ya hukumu hiyo kutolewa Jumatatu iliyopita na hakimu mkazi aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo, Gilbert Ndeuruo, wananchi walionekana kufurahi na wengi wakitaka japo kumgusa mfungwa huyo mpya lakini ulinzi wa polisi ulikuwa imara.
Akitoa hukumu hiyo Hakimu Ndauruo alisema amesikitishwa na kitendo cha mtuhumiwa huyo kutotaka kujua alipo mtoto aliyemkosea na badala yake kumjali wake. Mwanamke huyo alipandishwa kizimbani kwa mara ya kwanza Novemba 16, mwaka jana.
--> Mara baada ya hukumu hiyo kutolewa Jumatatu iliyopita na hakimu mkazi aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo, Gilbert Ndeuruo, wananchi walionekana kufurahi na wengi wakitaka japo kumgusa mfungwa huyo mpya lakini ulinzi wa polisi ulikuwa imara.
“Huyu mama angenyongwa tu,” alisikika akisema mama mmoja aliyeonesha kuwa na hasira na mfungwa huyo aliyekuwa amezungukwa na askari polisi.
Akisoma hukumu hiyo iliyozusha cherekochereko kutoka kwa baadhi ya wakazi hao wa Mbeya mahakamani hapo, Hakimu Ndeuruo alisema mshitakiwa amehukumiwa kutokana na kifungu cha 235 cha mwenendo wa makosa ya jinai cha mwaka 1985.
Akaongeza kuwa mahakama hiyo imeona mshtakiwa anastahili adhabu kutokana na mtuhumiwa huyo kama mzazi kushindwa kujali afya ya mtoto wakati alikuwa mama mlezi ikiwa ni pamoja na kumpeleka hospitali kwa wakati ili apatiwe matibabu.
Hakimu Ndeuruo amesema mahakama hiyo haikuridhishwa na ushahidi wa utetezi wa mtuhumiwa alioutoa mahakamani kuwa majeraha yaliyokutwa mwilini mwa mtoto Aneth yalitokana na kuugua tetekuwanga, jambo ambalo alisema si la kweli.
Aidha, mshtakiwa Wilvina alipotakiwa kujitetea ili apunguziwe adhabu kabla ya kusomewa hukumu alisema: “Naiomba mahakama inipunguzie adhabu kwa kuwa mimi ni mjamzito pia sijui mwanangu niliyemzaa alipo kwani sina mawasiliano na familia yangu.”
Akitoa hukumu hiyo Hakimu Ndauruo alisema amesikitishwa na kitendo cha mtuhumiwa huyo kutotaka kujua alipo mtoto aliyemkosea na badala yake kumjali wake. Mwanamke huyo alipandishwa kizimbani kwa mara ya kwanza Novemba 16, mwaka jana.
2013 Ya " Shilole"!!!
VIDEO ya "KIMAPENZI" Alingo ya P Squire yapigwa Marufuku
Udaku wa Africa, Udaku wa TZ na Africa
Video ya nyimbo mpya ya Vijana wa kundi la P squire, "ALINGO" imepigwa marufuku nchini Nigeria na NBC Kutokana na kile kilichosemwa inahamasisha ngono nma wanawake wa humo ndani wamekaa kihasa hasara mno. Iangalie Video hiyo hapo chini. -->
Tumbo la Shakira lazidi kujaa
Msanii na balozi wa UNICEF, Mrembo shakira ambaye kwa sasa ana Ujauzito wa mchezaji wa Barca, Pique, Amedakwa akiliachia tumbo lake ambapo soon anatarajiwa kujifungua.
Picha ya Justin Bieber akionesha Tako Yavuja.
Mwanamuzi kijana mwenye utajiri wa kutosha, raia kutoka nchini Canada ameanza kukumbwa na scandals za aina yake baada ya kuvuja kwa picha yake hii katika mitindao mbali mbali. jionee mwenyewe.
Nyoka atoka Sehemu za Siri za Mwanamke Baada ya" Kufanyiwa Maombi"
Maisha, Udaku wa Africa, Udaku wa TZ na Africa
-->
Hawa wachawi na teknolojia yao ya giza katika karne hii ya sayansi na teknolojia wanazidi kutuonesha maajabu yao. Baada ya mwanamke mmoja kusumbuliwa na maumivu ya tumbo kwa muda mrefu ndipo alipoaamua kwenda kwa mchungaji mmoja kufanyiwa maombi huenda Mungu akasikia kilio chake, kioja kilitokea hapo ambapo mwanamke huyo alipohisi kuna kitu kina mtoka sehemu za siri na ndipo nyoa huyo mwenye urefu wa nchi 20 alipotoka katika ikulu zake.Baada ya tukio hilo mwanadad huyo alisema kuwa alikuwa na tabia ya kulalal na wanaume tofauti tofauti ambapo kila mwanaume atayekubali kulala nae hupata ugonjwa wa ajabu ambao hautibiki hospitali, kifupi alikuwa akiwachezea.
Hawa wachawi na teknolojia yao ya giza katika karne hii ya sayansi na teknolojia wanazidi kutuonesha maajabu yao. Baada ya mwanamke mmoja kusumbuliwa na maumivu ya tumbo kwa muda mrefu ndipo alipoaamua kwenda kwa mchungaji mmoja kufanyiwa maombi huenda Mungu akasikia kilio chake, kioja kilitokea hapo ambapo mwanamke huyo alipohisi kuna kitu kina mtoka sehemu za siri na ndipo nyoa huyo mwenye urefu wa nchi 20 alipotoka katika ikulu zake.Baada ya tukio hilo mwanadad huyo alisema kuwa alikuwa na tabia ya kulalal na wanaume tofauti tofauti ambapo kila mwanaume atayekubali kulala nae hupata ugonjwa wa ajabu ambao hautibiki hospitali, kifupi alikuwa akiwachezea.
Unenguaji wa Beverly Hautuogopeshi - Girls la Musica
Udaku wa Africa, Udaku wa TZ na Africa
![]() |
| Beverly Sibanda |
![]() |
| Girls la Musica |
Angalia "Fumanizi" Kimada afumwa na Mwenye Mume
Udaku wa Africa, Udaku wa TZ na Africa
-->
Mwanamke mmoja nchini South Africa ameuanza Mwaka 2013 vibaya baada ya kupokea kichapo cha haja na kuvuliwa nguo hadharani. Tukio hilo limetokea usiku wa mkesha wa mwaka mpya ambapo mke alimwambia mumewe kuwa anakwenda kanisani kwa ajili ya mkesha huo na ndipo njemba hiyo ikautumia mwanya huo kumualika nyumbani kimada wake, baada ya kula raha zao walipitiwa na usingizi na ndipo mke wa halali aliporudi nyumbani na kumjazia watu mumewe huku akimkwida kimada huyo na kumsaula nguo!
Mwanamke mmoja nchini South Africa ameuanza Mwaka 2013 vibaya baada ya kupokea kichapo cha haja na kuvuliwa nguo hadharani. Tukio hilo limetokea usiku wa mkesha wa mwaka mpya ambapo mke alimwambia mumewe kuwa anakwenda kanisani kwa ajili ya mkesha huo na ndipo njemba hiyo ikautumia mwanya huo kumualika nyumbani kimada wake, baada ya kula raha zao walipitiwa na usingizi na ndipo mke wa halali aliporudi nyumbani na kumjazia watu mumewe huku akimkwida kimada huyo na kumsaula nguo!
"Naskiliza Hii, Kisha Naenda Kufanya Mapenzi na Mume Wangu" Beyonce
-->
Msanii mwenye mvuto wa kipekee wa kimapenzi mwanadada Beyonce, ameng'aa katika jarida la GQ Huku akijishaua na kuseme " Kwa sasa nasikiliza wimbo wa make love to me, kisha naenda ku make love na mume wangu" Kwa mujibu wa jarida la GQ Beyonce ndio mwanamke mwenye mvuto wa kimapenzi zaidi kwa mwaka 2012.
Msanii mwenye mvuto wa kipekee wa kimapenzi mwanadada Beyonce, ameng'aa katika jarida la GQ Huku akijishaua na kuseme " Kwa sasa nasikiliza wimbo wa make love to me, kisha naenda ku make love na mume wangu" Kwa mujibu wa jarida la GQ Beyonce ndio mwanamke mwenye mvuto wa kimapenzi zaidi kwa mwaka 2012.
Subscribe to:
Posts (Atom)
Popular Posts
-
Miongoni mwa kampuni kubwa za Movie za Ngono zimejipanga kwenda Mahakani kupinga pendekezo la Sheria mpya ya kuwataka wahusika wake kuvaa...
-
Baada tu ya chumba cha binti huyu ambaye ni mtoto wa mjomba tunayeishi nae hapo nyumbani kuna chumba cha kujisomea ambacho mara nyingi huwa ...
-
Pengine baadhi yetu tumewahi kuisikia au kuona mambo ya baikoko. Ni mitindo ya kunengua na kukata mauno kwa wenyenji wa Tanga wanajua zaidi....
-
KWA mara ya kwanza baada ya kutua Bongo, Mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshort (2014), Idris Sultan amemfungukia mwigizaji Elizabet...
-
Hebu jionee mwenyewe picha ya bi mkubwa huyo, udenda unamtoka akilazimisha kutoa "nanii" ya huyo mvulana ili "ampige mambo ye...
-
Ingawa Yamesemwa mengi katika mitandao mbali mbali kuhusiana na kufumwa kwa picha hizo, ukweli ni kwamba picha hizo hazikufumwa bali ziliwe...
-
--> Hayo si maneno yangu bali ni maneno ya wapenzi hao wawili, ambao walisema siri kubwa ya uhusiano wao kuwepo hadi leo ni kufanya mapen...
-
NYOTA wa sinema Bongo, Aunty Ezekiel ameingia matatani na maafande wa Kituo cha Polisi Pangani, Ilala jijini Dar akidaiwa kutokomea na chen...
-
Ni kioja lakiniUkweli ndio huo, hiyo ndio sura ya Vladimir Franz, mgombea Uraisi wa Czech Republic ambaye anashika nafasi ya tatu miongo...
Labels
Agness Masogange
Aisha Bui
Ajali
Ali Kiba
Aunty Ezekiel
Baby Madaha
Batuli
Bob Junior
Bongo Flavor
Bongo Movie
Chriss Brown
Dawa za Kulevya
Diamond Platnumz
Drake
Dully Sykes
Elizabeth Michael
Escrow
featured
Fumanizi
Gardner
Geor Davie
Global Publishers.
Habari Picha
Habari za Kimataifa
Habari za Kitaifa
Halima Ally
Hamisa Mobeto
Huddah Monroe
Irene Uwoya
Jacqueline Wolper
Jamii Forums
Jokate
Kajala Masanja
Lady Jay Dee
Lilian Kamazima
Lulu
Magazeti na Picha
Mainda
Maisha
Malick Bandawe
Mapenzi
Maunda Zorro
Michezo na Burudani
Miss Tanzania
Mpira
Mr Blue
Muziki
Mwana Fa
Ney wa Mitego
Nyota wa Bongo
Ommy Dimpoz
Original Comedy
P Square
Picha za Utupu
Ray C
Rihanna
Rose Ndauka
Sabby Angel
Shetta
Shilole
Sitti Mtemvu
Udaku Magazetini
Udaku wa Africa
Udaku wa Tanzania
Udaku wa TZ na Africa
Udaku wa Ulaya
Ufuska
Uhuru Kenyatta
Ujana
Urembo
Uswazi.
Video
Wasanii
Wema Sepetu
Zari The Boss Lady
Zitto Kabwe















