Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

OBAMA NA KA SKENDO KA KUJIMEGEA BEYONCE


Gazeti moja la nchini Ufaransa Le Figaro linaripoti kamba Beyoncé na Rais Barack Obama wana mahusiano ya kimap#nzi. Ndio, umesoma sahihi. Pascal Rostain, mpiga picha wa Kifaransa, amelieleza gazeti hilo kwamba “kuna kitu kikubwa kinaendelea” kati ya wawili hao.

“Nakuhakikishia kwamba Dunia italizungumzia hili,” aliongeza. 

Soma habari na angalia picha zaidi hapo chini....

Gala, ambalo ni kama Jarida la People la Ufaransa, pia limetaarifu kwamba Rais huyo wa Marekani na mke wake Michelle Obama wanaelekea kuachana.


Hakuna taarifa zilizotolewa zaidi juu ya uthibitisho wa Jarida hilo kuweza kusapoti kile ilichokiandika, ila tutafahamu zaidi hapo kesho.

Huku habari hizo zikiwa zinasambaa Barani Ulaya, inaoneka kwamba The Washington Post linategemea kutoka na na taarifa nyingine zaidi juu ya habari hiyo. 

Kris Coratti ambaye ni msemaji wa gazeti hilo, alisema kwamba tetesi hizo juu ya mahusiano ya kimap#nzi kati ya Bey na Barack kuwa “sio za kweli kabisa” na wana mpango wa kufanyia uchunguzi wa kina juu ya tetesi hizo.

DOL ANGEL, AKIWATEGA MASHABIKI WAKE WA KIUME, WATATEGEKA?!!!


Sawa... Ni nini hasa anachojaribu kutuonyesha hapa... Je anacho hasa ama...?
Ni muigizaji maarufu wa filamu za Nollywood aitwaye Angel Gift akijaribu kuwalaghai mashabiki wake wa kiume akiwa kwenye picha hii ya kitandani.

DC.

MARIAH CAREY ANOAACHA MAMBO WAZI AKIWA STEJINI.


Hakika mwanamke huyu hataki kukubaliana na ukweli wa yeye kuwa mtu mzima na kuacha mambo kama haya yakafanywa na wasichana wadogo. Hivi ndivyo alivyoimba kwenye BET Honors zilizofanyika Warner Theatre ndani ya Washington DC siku ya Jumamosi.

Angalia picha zaidi hapo chini....


DC 

MUIGIZAJI HUYU WA MOVIES ZA NG0N0 AMEPANIA KUFANYA MAP#NZI NA WANAUME 23 KATIKA KUSHEHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA


Msanii chipukizi wa wa filamu za ng0n0 Heidi Van H0'rny ana mpango wa kufanya pati ya kipekee kwenye siku yake ya kuzaliwa ndani ya Montreal.

Kwa watu wengine huwa ni mishumaa na keki, na kwa baadhi ya watu huwa ni misosi, mitungi na shots za hapa na pale.

Ila kwa msichana huyu chipukizi wa filamu za ng0n0 yeye binafsi ana mpango wa kuwaalika wanaume waliowahi kuwa wap#nzi wake 23 kwa ajili ya kuwaenzi siku hiyo kwa tukio hilo la kipekee atakapokuwa akitimiza miaka 23.


DC.

ETI HIZI NDO NYWELE ZA ASILI ZA NICK MINAJ, MCHEKI HAPA.


Rapa huyu wa kike hapo jana kupitia ukurasa wake wa Instagram alionyesha nywele zake za asili zilizoonekana kuwa ni ndefu (utaziona nywele hizo hapo chini) na ni kweli kwamba ni nywele zake Nicki Minaj.

Mcheki zaidi kwenye picha hapo chini...

Unaonaje zimempendeza sana au....?

DC.

HILI NDO VAZI LA HARUSI LILILOTENGENEZWA KWA C0ND0M


Vazi la harusi ambalo limetengenezwa kwa kutumia mipira ya kiume (C0nd0m) limewekwa kwenye jengo la maonyesho nchini Australia.

Vazi hilo limebuniwa kwa lengo la kuhamasisha watu kuelewa juu ya athali za magonjwa yatokanayo na kujamiiana, UKIMWI ikiwa ni moja wapo.

Na limewekwa kwenye Kituo cha Burudani cha Halmashauri ya Jiji la Shoalhaven lililopo nchini Australia.

Kituo cha Illawarra Shoalhaven cha eneo hilo kinachohusika na huduma za HIV na magonjwa yanayoendana nayo kimetengeneza vazi hilo la harusi lote likiwa na cond0m kwa lengo la kuhamasisha matumizi yake kama namna ya kujikinga na maambukizi.

HUYU NDIO MTU WA KWANZA DUNIANI KUWA NA FOLLOWERS WA TWITTER MILIONI 50


Nyota huyo wa muziki wa aina ya pop ndiye mwenye watu wengi zaidi wanaom-follow kwenye  mitandao ya kijamii akiwa na watu 800,000 zaidi ya mtu anayemfata  kwa karibu ambaye ni Justin Bieber.
Watu wanaom-follow Katy wanajulikana kama Katycats.

DC.

MAHEEDA ATUPIA NYINGINE INSTAGRAM, NI SHIDAAAA.


Baada ya ukimya wa muda mchache, msanii wa Injili aliye amua kumrudia shetani awapa mashabiki wake picha nyingine za utupu, angalia mzigo mpya alioutupia Instagram hapa.

LADY JAY DEE ADAI TALAKA KWA GARDNER, SOMA KISA KIZIMA HAPA.


UNAWEZA ukakataa lakini ndivyo ilivyotokea, ndoa ya mtangazaji mahiri Bongo, Gardner Gabriel Fikirini Habash ‘Kapteini’ na Mbongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ iliyofungwa miaka 9 iliyopita inadaiwa kuingia kidudu kufuatia mke huyo kuomba aandikiwe talaka, ni Ijumaa Wikienda pekee lenye uthubutu wa kuripoti mkasa wote.
Jide akiwa na jumewe Gardner.
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha kuaminika, Jide au Lady Jaydee alifikia uamuzi huo baada ya Gardner kupata kazi ya kutangazia redio moja nchini Kenya.
HABARI KAMILI
Mnyetishaji wa kisanga hiki, aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa mara baada ya mume huyo kupata mchongo mzima alirudi nyumbani akiwa na furaha na kumwambia mkewe kuhusu bahati hiyo.
“Baada ya Gardner kupata mchongo wote wa kazi alikwenda mbio nyumbani kwake Kimara (Dar) ili akamwambie mkewe.
“Pia katika safari ya kwenda Kenya kupiga mzigo ilikuwa aende na mkewe huyo kwa sababu lilikuwa suala la kuhamisha makazi yao Tanzania,” kilisema chanzo hicho.
Jide na Gardner siku ya ndoa yao.
JIDE AHAMAKI
Chanzo kikatoboa kwamba Gardner alipofika nyumbani kwake na kumweleza mkewe, alikumbana na kitu ambacho hakukitarajia.
“Komando (Jide) alihamaki na kumjia juu akisema yeye hawezi kuondoka Tanzania kwenda kuishi Kenya, kama Gardner analiona jambo hilo ni heri kwake, amuandikie talaka yake na kuachana ili kila mmoja achukue hamsini zake,” chanzo kilizidi kuporomosha maneno.
KWA NINI JIDE HAKUPENDA? 
Habari zilizidi kuanikwa kwamba Jide au Binti Machozi alifikia uamuzi huo baada ya kugundua kuwa kitendo cha kwenda kuishi Kenya kitaua bendi yake ya Machozi na sehemu ya biashara ya Nyumbani Lounge iliyopo Ada-Estate, Kinondoni, Dar.
MBAYA ZAIDI
Taarifa zikazidi kumiminika kwamba, mbali na Jide au Anakonda kuhofia biashara zake kufa, lakini pia hakupenda Gardner aondoke hata peke yake kwa sababu yeye ndiye meneja wa miradi hiyo miwili.
“Mimi nilipopata habari hizo nilikutana na Jide nikamuuliza, akanijibu ameamua iwe hivyo tu, kikubwa mumewe (Gardner) aamue moja kati ya hayo mawili kwani yeye ana haki akiwa kama mkewe wa ndoa,” kilisema chanzo kikimkariri Jide.
GARDNER AISHIWA NGUVU
Kufuatia majibu ya mkewe, taarifa zinasema mtangazaji huyo ambaye alishawahi kupiga mzigo kwenye kituo cha Radio Clouds FM cha jijini Dar alijikuta akiishiwa nguvu na kuachana na dili hilo mara moja.
“Gardner alisalimu amri kwa mkewe, akaamua kuachana na dili la kwenda kutangaza Kenya. Lakini alifikiri sana akasema ni kweli kuhamia Kenya kungeua miradi yao ya Tanzania maana ingekosa msimamizi wa kuaminika,” chanzo kiliweka wazi.
KAMA ANGEKWENDA KENYA
Siri hiyo iliyovujia mikononi mwa Ijumaa Wikienda haikuishia hapo, ilizidi kuanikwa kwamba kama Kapteini angekwenda Kenya na kuanza kazi, ilikuwa alipwe mshahara wa shilingi za Kenya laki 3 kwa mwezi (kama milioni 6 za Tanzania).

NAFASI YAKE BADO IPO
Mpashaji wetu alisema kwamba nafasi ya Gardner kwenye kituo hicho cha redio ambacho hakikutajwa, bado ipo lakini tamko la Jide nalo li hai, kwa vile hakubatilisha, endapo mumewe atataka kwenda hata kesho (Jumanne) aandike talaka.
WIKIENDA NA GARDNER
Baada ya kunyetishiwa taarifa nzima, juzi gazeti hili lilimsaka Gardner. Kwa njia ya simu lilimkosa, likamfuata Nyumbani Lounge. Lilipomkuta lilimsimulia kisanga chote cha ndoa yake kutikiswa na kitendo cha yeye kupata kazi Kenya ambapo alijibu hivi:
“Ndoa ni nzuri, ni kweli ilikuwa niende Kenya, nilipata kazi kule lakini kama familia ilikuwa lazima tukae na kupanga, mwenzangu hakuafiki.”
Wikienda: “Ni kweli shemeji ameomba uchague mawili, umwandikike talaka au uende Kenya?”
Gardner: “Ndiyo maana nimesema ndoa nzuri, lazima makubaliano yawepo, mke anaweza kuonesha msimamo wake na mume kama utakaa chini na kuufikiria ukapata jibu unakubaliana na mke wako wala hakuna ubaya.”
Wikienda: “Kule mshahara wako ungekuwa shilingi ngapi?”
Gardner: “Hiyo sasa ni siri ya makubaliano.”
Wikienda: “Kwa nini usiamue kwenda tu?”
Gardner: “Nimekwambia ndoa nzuri.”
JIDE BIZE
Juhudi za kumpata Jide ziligonga mwamba baada ya muda wote kuwa bize na shoo ya kukata na shoka aliyokuwa akiifanya siku hiyo kwenye ukumbi huo akikimbiza na nyimbo zake kali za zamani na hizi mbili zilizogeuka nyimbo za taifa, Joto Hasira na Yahaya.
RAFIKI WA GADNER AMCHAMBUA JIDE
Rafiki wa karibu na Gardner (jina tunalo) ambaye alisikia mahojiano ya mtangazaji huyo na Ijumaa Wikienda, alisubiri jamaa aondoke ambapo alianza kumchambua Jide.
“Nataka kuwaambia kitu, Jide ni mwanamke jasiri sana. Ana msimamo na anaposhikilia msimamo wake hatengui hasa kama atabaini kuwa yupo sahihi.
“Ni kweli jamaa (Gardner) alipata kazi Kenya tena mshahara mzuri tu, lakini mama (Jide) akaweka ngumu hakuna kwenda,” alisema rafiki huyo.
GPL

LOL!! KUMBE YULE MCHUMBA WA KIZUNGU WA SHILOLE " NI SHOGA" AKA MCHICHA MWIBA.


Yeleuuuwi! Siku chache baada ya msanii wa sinema na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ kujinadi na mchumba wa Kizungu aliyejulikana kwa jina moja la Ankar, siri imefichuka kwamba jamaa huyo ni mwanaume tata.
POZI TATA: Ankar katika pozi.
Kikizungumza na Ijumaa Wikienda kutoka London, Uingereza, wikiendi iliyopita, chanzo hicho makini kilisema mwanaume ambaye hivi karibuni Shilole alijinadi kuwa ni bwana’ke siyo kwani huko London baadhi ya watu wanamfahamu kama mwanaume tata kijinsia.
MAUNO: Ankar akikata mauno.
“Yule jamaa anapenda sana kukaa na wanawake, sijawahi kumuona na wanaume wenzake, kazi kukata tu mauno na wanawake. Nilishangaa sana Shilole kusema eti ni mchumba’ke wakati hapa London (Uingereza) ni maarufu sana kwa kushiriki pati za wanawake.
WAPENZI: Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiwa na 'mchumba wake', Ankar.
“Maskini Shilole, pale imekula kwake, hakuna chochote,” kilisema chanzo hicho.
Baada ya kunyetishiwa habari hizo, gazeti hili lilimtafuta Shilole ambapo alikuwa na haya ya kusema:
PIPI YA KIJITI: Ankar akifyonza pipi ya kijiti.
“Jamani imeniuma sana kwani nilikuwa sijui, nimeligundua hilo baada ya kuambiwa na watu, nilipigiwa simu kutoka Uingereza kwamba yule mwanaume siyo hivyo sina mpango naye tena kwa kweli,” alisema Shilole anayetamba na kideo cha Nakomaa na Jiji.
TABASAMU: Ankar akitabasamu katika pozi.

GPL.

WEMA NAE KAVURUGWA, ETI AKIFA AAGWE UWANJA WA TAIFA MAANA LEADERS HAPATA TOSHA.


Kazi ipo! Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ambaye huwa haishiwi habari, ameibuka na jipya akidai kuwa akifa leo au kesho basi aagwe Uwanja wa Taifa jijini Dar, Ijumaa Wikienda limemtegea sikio.
Wema Isaac Sepetu.
Miss Tanzania huyo wa 2006/07 ambaye anakimbiza kwenye sinema za Kibongo alifunguka hayo wikiendi iliyopita wakati akiwa safarini kuelekea jijini Arusha ambapo msanii anayemilikiwa na kampuni ya Wema ya Endless Fame Production aliyetajwa kwa jina moja la Mirrow alikwenda kuangusha shoo pande hizo.
Wema aliyasema hayo alipokuwa akichangia mada ya utabiri wa mtoto wa aliyekuwa mtabiri bingwa, marehemu Sheikh Yahya Hussein, Maalim Hassan Hussein aliyetabiri kwamba wasanii wengi wenye majina makubwa watakufa mwaka 2014.
Mwanadada huyo alisema mastaa wengi wameaga dunia na kuagwa kwenye Viwanja vya Leaders, Kinondoni lakini yeye itakuwa Uwanja wa Taifa.
Alitolea mifano ya waliokuwa mastaa kama Steven Kanumba, Albert Mangweha ‘Ngwea’, Julius Nyaisangah ‘Anko J’ na wengine kuwa waliagwa Leaders lakini kwa namna ambavyo jina lake ni kubwa ndani na nje ya Bongo viwanja hivyo havitatosha.
“Mimi nakwambia kabisa, pale Leaders hapatatosha. Kama nikifa leo au kesho, niagwe Uwanja wa Taifa ili kila mtu apate nafasi. Naamini watu watakuwa wengi sana so Leaders hapatatosha,” alisema staa huyo mkubwa anayeminya kilamalavidavi na Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.
Ijumaa Wikienda lilipododosa kwa marafiki zake wa karibu lilitonywa kwamba tayari jambo hilo alishawaeleza na kwamba aliomba iwe hivyo.
Mbali na wasanii, Maalim Hassan alitabiri pia kuwa mwaka huu kuna mwanasiasa mkubwa atakufa na utakuwa msiba wa kitaifa, vifo vya wanahabari na malumbano makubwa juu ya serikali tatu.
Wiki iliyopita ilijaa simanzi baada ya kufariki dunia kwa watu maarufu kama mchekeshaji wa Futuhi ya Star TV, Omary Majuto ‘Mzee Dude’, mpiga ngoma wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Soud Mohamed ‘MCD’, mwigizaji wa Bongo Movies, Victor Peter na mtangazaji wa East Africa Radio, Kenneth Kidago Lyanga.

GPL.

CCM YAWATEKA WASANII WA BONGO MOVIES, MAMIA WAJIUNGA RASMI.


Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanikiwa kupata wanachama wapya ambao ni wasanii wa tasnia mbalimbali, miongoni mwao ni Uwoya, Johari, Banana, JB na Mrisho Mpoto.

Chanzo: Jamii FORUMS

SNURA ALIA NA WABAYA WAKE, WANAOTAMANI AANGUKE.


STAA aliyeliteka soko la mduara kwa kibao chake cha Majanga, Snura Mushi amesema watu wenye chuki na yeye wamepanga njama za kumshusha kwenye chati kutokana na maendeleo yake.
Snura Mushi.
Akipiga stori na paparazi wetu juzi, Snura alisema: “Nashangaa sana ninapofanya jambo zuri halafu watu wanaligeuza kuwa baya ili nichafuke jina na kunipunguzia mvuto kwa mashabiki wangu.”
Chanzo cha yote ni baada ya mwanadada huyo kupiga shoo kwenye Ukumbi wa Buliyaga, Temeke, Dar siku chache zilizopita, kundi la watu wasiojulikana walianza kueneza taarifa kuwa alifanya vibaya na mashabiki wakamtaka ashuke jukwaani jambo ambalo alisema halikuwa na ukweli wowote.
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga