Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » Bustani Ya Ngono Yaichafua Kenya

Kenya imejiweka katika taswira mbaya kimataifa baada ya picha zilizopigwa na polisi wake kama kithibitisho baada ya kuwakamata 'wagoni" katika bustani ya Masinde Muliro Huko kakamega, kuzagaa katika mitandao sehemu mbali mbali duniani na kuitafsiri nchi hiyo kama ni ya washenzi wanaopenda ngono.


Viongozi wa dini wakiongozwa na Bishop Olumasai waliweka kambi eneo hilo kufanya maombi na kulaani wale wote walookuwa wakihusika, polisi nchini humo iliingilia kati swala hilo ili kuiweka hali ya usalama katika pande hizo ambazo zilikuwa kivutio kikubwa cha watalii hasa ukizingatia kuwa pande hizo ndo anatokea mtu mzima  Obama.



About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga