Angalia Tangazo la Gucci, Mdada aweka G Sehemu za Siri
--> Kweli hawa wazungu wanajua mbinu za kimasoko au wanajua kumdhalilisha mwanamke. maana hili tangazo lao jipya hao gucci sijui walifikiria nini. Angalia mwenyewe picha ya huyo mdada akiwa kanyoa nywele zake za Sirini na Kubakisha alama ya G, Halafu anawaonesha wadau.