Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » Kesi ya Wabakaji Kusikilizwa Leo, Wakana Mashtaka.

Kesi inayowakabili watu sita, watatu kati ya hao wakiwa ni ndugu wa familia moja ambao wanashtakiwa kwa kumbaka na kumjeruhi binti wa India ambaye alifariki baadae hospitali kutokana na majeraha, itasikilizwa leo huku wakili wao akiahidi kukana mashtaka na kuongezea kwamba hawana hatia bali ni njama tu za Polisi kuupindisha ukweli na kuwabambikia kesi.

Wakili mwingine ambaye anawatetea pia watuhumiwa hao ndugu amesema pia hawana hatia. Hata hivyo bado watuhumiwa wengine hawajapata wakili wa kuwatetea, mbali na hao yupo mtuhumiwa mwingine mwenye Umri wa Miaka 17 ambaye kesi yake inatarajiwa kusikilizwa katika mahakama ya watoto na kama atakutwa na hatia huenda akahukumiwa miaka 3 jela.

India imekuwa ikalalamikiwa na matukuo ya vyombo vyake vya Dola kuuficha Ukweli na Kuwabambikia watu kesi, pia kutokuwa makini katika kuwalinda raia wake hasa wanawake.

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga