Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » Mwanafunzi akuta "Ubongo" ndani ya Kuku

Kijana Ibrahim Langoo, amekutana na mkasa wa aina yake pale alipokutana na kitu mithili ya ubongo ndani ya kuku. Ibrahim alikutana na mkasa huo pale alipoamua kwenda katika mgahawa mmoja na kuagiza kuku hao wa kisasa ambau hukaangwa kitaalam. baada ya kumkata na kumpasua kati ndipo alipokutana na kioja hicho. Alijaribu kuwaambia wahusika wa mgahawa huo lakini walikuwa busy sana na kumpotezea na ndipo alipo amua kuripoti tukio hilo kwa njia ya mtandao ambapo wahusika KFC walimuomba radhi na kumpa kuponi za kula kuku tena mahali pengine bure. Hata hivyo mpaka sasa hana hamu ya kuku wala hataki kusikia kitu kinachoitwa KFC.

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga