Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » Duuh!! Mzee wa Miaka 60 mbaroni baada ya kufumwa akivinjari na Binti ndani ya Gari!!!

--> Ule usemi unaosema ng'ombe hazeeki maini umejidhihirisha juzi pale Mzee mmoja wa umri wa miaka 60 alipofumwa akijiachia na ka binti ka miaka 17 ndani ya gari. Mzee Opanyin Kofi Appiah alikamtwa baada ya kupatikana ushirikiano wa kutosha toka kwa wananchi wa maeneo ya Kwadaso Beposo walikuwa wakifuatilia nyendo zake baada ya kuvuja taarifa zake za kuwa na mahusiano na mabinti wadogo.

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga