Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » » Angalia Mfanyakazi wa Subway alivyoweka "UUME" Wake katika Mkate wa Wateja, Kisha ku Post Picha Instagram, Afukuzwa kazi Mara Moja.


Kwa wale wapenzi wa kula Sandwich huko Marekani hili limewachefua saana, maana huyu jamaa sikui alikuwa anafikiria nini baada ya kuweka picha hizo chafu katika Instagram na video huku akijitambulisha" Mimi..... Leo ndo Muandaaji wako wa hii Sandwich"

Kampuni ya Subway ambayo jamaa huyo alikiuwa anafanya kazi wamemfukuza kazi mara moja jamaa huyo na kuwaomba radhi wateja wake kwa kitendo hicho kiovu cha mfanyakazi huyo.

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga