Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » » Dereva Aliyesababisha Ajali Akamatwa, Angali Picha ya Gari Lake, Loh! Kumbe Hata Usukani Hana Badala yake Aendeshea Koleo!!


Polisi huko Australia wanamshikia Mtu mmoja baada ya kusababisha ajali akiwa na gari lake. Cha kustajaabisha zaidi ni pale polisi walipolikagua gari la mtuhumiwa huyo na ndipo walipokuta maajabu, kwani hakukuwa na Usukani ila ni Koleo.

Mtuhumiwa huyo alipelekwa katika vipimo maalumu vya madawa ya kulevya na Pombe, majibu yameonesha alikuwa katika athari ya madawa hayo wakati anaendesha, pia hana leseni na matairi ya gari lake yalikuwa yameisha kabisa.


About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga