Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » » Kanye West Amtandika Makonde Mwandishi wa Habari, Afunguliwa Mashtaka.


Mzazi mwenzie Kim Kardashian, Rapper Kanye West amejikuta katika matatizo tena baada ya kushambulia na kumuumiza mwandishi wa habari ambaye alikuwa anamzonga na maswali alipokuwa katika uwanja wa Ndege wa LA Marekani.

 kutokana na maumivu aliyoyapata Mwandishi wa Habari huyo pamoja na udhalilishwaji aliokumbana nao tayari ameshamfungulia mashataka Rapper Huyo

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga