Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » Mzee Magari wa Bongo Movie apiga Hodi Bongo Flavor, Atoa Single ya Kwanza!!!

-->


Maisha ni kutafuta na si kutafutana, Yule Mkali na mkongwe wa Bongo Movie, Mzee Charles Magari amefunguka zaidi na kuangalia upande wa pili wa shilingi baada ya kuamua kujiingiza pia katika Bongo Flavour, Ameshatoa Single yake ya kwanza, ipo mtandaoni kwa jina la "Dar Raha" Hope Mzee Mzima ataliweza Game maana Ukubwa Dawa.

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga