Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » » Vijana waandamana kwa kuvaa "SKETI" wakishinikiza pendekezo la kuvaa "KAPTURA" Kipindi cha Majira ya Joto!!


Vijana hao pichani, ni wanafunzi kutoka Whitchurch High School ambao walifanya mgomo baridi ili kushinikza uongozi wa shule uwaruhusu wavae kaptura kipindi cha majira ya joto maana suruali zinakuwa ni mateso kwao, baada ya kitendo chao hicho, uongozi wa shule hiyo kupia kwa mkuu wa shule ulitoa ahadi ya kulizingatia ombi lao hilo na kwamba walitakiwa waendelee kuvaa suruali wakati mabadiliko yanapitishwa.


About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga