Miaka ya 1998 hadi 2002, kwa wale wapenzi wa Tamthiliya za Ki Nigeria Hii sura ya Mlimbwende huyo si ngeni machoni mwao na hasa ukizingatia kipindi hicho hata Bongo Movie hawakuwa na Soko, basi macho yetu soote yalikuwa Nigeria na Ghana.
Omotola, Mumewe na watoto wao wawali Kushoto Kwao |
Kama Alikuwa kabla ya kuolewa na kuzaa, Mwigizaji huyo wa miaka 40 na, Anaonekana mwenye mvuto na kuzidi kuvutia kama mabinti wadogo. Angalia picha zote mbili kisha utoe tathmni yako.