Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » "Kumekuchaa" Shilole Ajiachia na Taulo tu kwa Obama!!


Mwanada Shilole ambaye yuko katika ziara huko nchini marekani ameonekana akijiachia na taulo moja tu, tukio hilo limemfanya Sintah amponde vibaya katika blog yake ya kwamba wa kijijini ni wa kijiji tu na hauwezi ukautoa ushamba wake bali unaweza toa shamba na kumleta mjini.
Lkini binafsi nahisi hii ni miongoni mwa scene ya movie au nyimbo yake, ngoja tuone shilole mwenyewe  anasemaje.

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga