Hugh Jackman, maarufu kama Woverine, ameingiza rasmi sokoni sinema yake mpya ya The Wolverine. Angalia baadhi ya Picha za Uzinduzi huo Huko London Primiere ambapo aliingia na Bonge la gari aina ya Audi, kampuni ambayo kwa kiasi kikubwa inahusika katika ukamilishaji wa movie hiyo kwa ujumla.