Hicho ndicho kilichotokea Kupitia Twitter, msichana anajiita Miz Floxy alikuwa amekwama na ana shida ya hela, alichoamua kufanya ni kumtumia meseji mmoja katika watu waliopo katika contact list yake na kumueleza ya kwamba ana shida je yupo tayari kumsaidia kama dada?
Leaken Badass, ndo mtu aliyetumiwa sms hiyo, badala ya kutoa msaada aliulizia kama yupo tayari kumpa mwili wake ili amsaidie, ndipo binti alipokubali na kuanza kujadiliana vipi watakutana ili wapeane hizo bidhaa.
Kwa bahati mbaya au nduzi, huyo leaken badass ni chizi maana baada ya kumaliza kuchat na binti huyo aliamua kuweka kila kitu hadharani, yaani conversation ya siri kati yake na miz floxy.