Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » » » » Kutana na Tilya, Mrembo wa Kitanzania Mpenzi wa Msanii wa Kundi La Bracket.





Tilya ni Msichana mwenye Asili ya Kitanzania, Mkazi wa Minneapolis, Minnesota Kikazi ni Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni yao na Pia ni Blogger.

Mwanadada huyu yupo katika uhusiano wa kimapenzi na Nwachukwu Ozioko, Maarufu kama Vast, Mmoja wa wasanii wanaounda kundi la Bracket, wazee wa "Yori Yori" So Shemejiii wetu huyu ni kama Alimdediketia dadaetu cjui kale ka wimbo kazuri cha Yori Yori?!!!


About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga