Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » New!! "SIDIRIA" Zisizokuwa na Mikanda wa Support Zatengenezwa, Angalia Picha Zilivyotolewa Rasmi Hapa.



Hatimaye wazungu wafanikiwa kuwaletea Dada zetu Sidiria zisizokuwa na Mikanda, yaani unaziweka tu kama Kofia vile, wenyewe wanaziita "INVISIBRA"

Siki ya jana wakazi wa London walipata Tangazo la Aina yake baada ya Kundi la Ma Model 10, Kukatiza katika mitaa mbali mbali ya Jiji hilo wakiwa bila mashati kwa kile kinachodaiwa kuitangaza bidhaa hiyo mpya sokoni.

Ni sidiria zisizokuwa na Mikanda wala Support ya Aina Yoyote ile kama zinavyoonekana katika Picha.



About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga