Ye Zixue ni mwanamitindo mwenye mchanganyiko wa damu ya Mchina na Mrussia ambaye kwa sasa amejikita kimaisha nchini China.
Muonekano wa Ye Zixue kwenye maonesho ya magari yanayoendelea jijini Guangzhou hakika ulikuwa sio wa kawaida, alikuwa amevaa gauni jeusi ambalo liliacha sehemu kubwa ya mwili wake ukiwa mtupu, eti yote kisa na sababu ya kitendo hicho ni juu fasheni ya kuitangaza bidhaa ya Mercedes-Benz.
Angalia Picha zaid hapa chini:-