Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » Ronaldo Asema Atampa Messi Tuzo ya Ballon d’Or


Nguli wa mpira wa miguu toka Brazil, Ronaldo De Lima, amesema kwake yeye tuzo ya FIFA Ballon d’Or angempa Messi mbele ya Cristiano Ronaldo, gazeti la Evening Standard limetaarifu.

Akionyesha kutokuwa na upendeleo kwa mtu anayeshea naye jina, Ronaldo mwenye umri wa miaka 37 sasa, ambaye aliwahi kutwaa taji la Kombe la Dunia mara mbili yaani 1997 na 2003 alisema,  “Nitamchagua Messi kwa kuzingatia sababu za kiufundi..... Nitajaribu kuangalia mambo ya kuzingatia kuweza kuchagua nani mshindi atakuwa, ila mmi nadhani huu umekuwa ni mwaka mzuri kwake.”

DC Blog.

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
WABUNGE NA VIGOGO WA MADAWA YA KULEVYA WAJISALIMISHA
»
Previous
Mmh, Angalia 10 Hot Photos za Super Model Mika Shay
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga