Naongana mkono na wale waliosema Black is Beautiful, hebu jionee mwenyewe jinsi mwanamke huyo wa ki Afrika alivyofungashia, unaweza usiamini unachokiona.
Swali langu kwa wanawake, mnahisi yawezekana kwa mtu mwenye umbo dogo kufungasha namna hii, nini siri ya mafanikio ya namna hii?!!!........