kuna hii aina ya uhusiano wa kimap3nz! iliyopewa jina la open relationshi=mapenzi yasiyokufunga kuwa na Mp3nz!/Wap3nz! wengine hata kama mp3nz! wako akijua wala hamind na wewe ukimuona na demu mwingine wala hakuna tatizo.
Wap3nz! wa namna hii huwa mara nyingi wanakuwa na siri ya uhusiano wao na pengine wanatambulishana kwa wapenzi wao wengine kuwa"huyu ndiyo girlfrend wangu ama huyu ndio boyfriend wangu na hao wanaotambulishwa wasijue kama hawa ni Wap3nz! na si masheji ama mawifi kama wanavyodanganywa".
WENGI WANATAMBULISHWA KWA HAWA WATU NA HAWAJUI NA WANABAKIA Kujua yule ni wifi kumbe mke mwenza ama yule ni shemeji kumbe mume mwenza.
LAKINI KUNA WENGINE KWENYE facebook Nashindwa kuelewa kama wanamaanisha open relatioship ya kweli wanapoandika hivyo status zao kwa luv ama wanafanya direct english swahili translation na kufikiri open relationship=uhusiano usio wa kificho, mana ni ngumu kidogo kuweka wazi kuwa una Wap3nz! tayari lakini haikufungi kuwa na mwingine.
JF.