Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » AVUNJIKA "NYETI" BAADA YA KUANGUKA JUU YA MTI ALIPOKUWA AKIFANYA MAP#NZI NA MWENZA WAKE.


Tukio moja la ajabu limetokea hivi karibuni, pale ambapo wap#nzi wawili walipoamua kufanya map#nzi wakiwa juu ya mti.

Katika zoezi hilo la aina yake kwa bahati mbaya au sijui tuseme baada ya kunogewa jamaa alianguka kutoka juu ya mti huu na kuangukia sehemu zake za siri kitendo kilichosababisha maumivu makali kwake.

Wap#nzi hao walikuwa kwenye siku ya tatu tu toka waanzishe mahusiano yao na waliamua kwenda kufanya map#nzi kwenye tawi la mti na shughuli ilipoanza na utamu kukolea ndipo kisanga hicho kilipotokea.

Inavyoonekana ni kwamba mwanaume huyo ambaye alikuwa yupo nusu ut#pu aliyejulikana kama Erik, alihitaji kujisogeza ili aweze kufaidi uhondo kwa karibu zaidi, na ndipo zoezi lao lilipoishia kwenye majanga pale jamaa alipopoteza uelekeo na kuanguka chini.

Erik alisema: "Mikono yangu iliteleza na nikajikuta nipo chini. Niliishia kujisikia poa ila gafla nilijikuta nipo chini."


Erik hakugundua nini kilikuwa kimetokea kwa mara ya kwanza - alikuwa ni demu wake Salina aliyeona u#me wake ukiwa unatoka damu.
DC.

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga