Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » HIVI NDIVYO BEYONCE NA MUMEWE JAY Z WALIVYOFUNIKA KBLA YA KUANZA SHOO KATIKA GRAMMY AWARDS.


Mara zote Beyonce anapoamua kutoka hakika huwa anajipanga kisawasawa yote ni katika kuhakikisha anatoka akiwa ameuza na kufunika mbaya kwa pamba anazotoka nazo.

Mwanamuziki huyo ambaye ni mama mwenye mtoto mmojaa alitinga kwenye tuzo za Grammy na moja kati ya pamba zake za ukweli.

Mume wake Jay-z alifika kwenye eneo hilo akiwa amevaa nguo nyeupe iliyotengenezwa na Michael Costello ambayo sambamba na ile aliyoivaa Beyonce ilifanya macho ya watu wengi waliokuwa pale wawatolee macho kwenye tukio hilo la jioni.

Angalia picha zaidi hapo chini;

DC

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga