Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » HIVI NDIVYO MESSI ANAVYO ZINGULIWA BAADA YA KUKOSA TUZO


Wabongo hawana maana kabisa. Baada ya Christian Ronaldo kuondoka na tuzo ya mchezaji bora wa dunia na kumwaga mpinzani wake mkubwa Messi. wabongo wakaamua kutengeneza kituko cha Messi. Hiyo picha unayoiona hapo juu ni Orijino ya Ronaldo akiwa na mkewaka na Messi akiwa na mke wake. sasa baada ya Ronaldo kushinda wabongo waka edit hiyo picha na matkeo yake yaka kama hivi 
kwamba Messi kakosa Tuzo na Kakosa mke. DUH

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga