Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » JUX AFUNGUKA KUHUSIANA NA SAKATA LA KUKAMATWA KWA MPENZ WAKE JACK CLIFF


 Hii ndo picha aliyo na ujumbe aliopost Jux mara baada ya kuongea na Jackie amabye kwa maelezo yake hajui kinacho endelea. 
credit=Jestina George
.
Boyfriend wake Jackie ambae ni msanii wa bongofleva Jux ameongea kwenye Exclusive interview na millardayo Jan 13 2014. Baadhi ya maswali aliyoyajibu kwenye video hapa chini ni pamoja na Wameongea lini mara ya mwisho? Jack anasemaje? Jack alikua wapi wakati wanaongea? yuko nchi gani? anarudi lini bongo? na mengine…

Angalia mahojiano hayo hapa chini

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga