TAARIFA YA TAHADHARI KUHUSIANA NA UPEPO MKALI, MAWIMBI MAKUBWA NA MVUA KUBWA TANZANIA.
Mamlaka ya Taifa ya Hali ya hewa imetoa tahadhadi ya mvua kali pamoja upepo mkali katika baadhi ya maeneo nchini kama inavyoonekana katika taarifa yao hapo juu. Tuchukue tahadhari.