Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » PROF. JAY NA DIAMOND PLATINUM NDANI BONGO RECORDS WAKIANDAA NYIMBO YA PAMOJA..JE,UNAHISI ITAKUAJE??KAMA SIO ZAID YA MUZIKI GANI!!


Msanii mkongwe katika game ya Bongo Fleva Joseph Haule (Prof. Jay) ambae amesababisha ushawishi mkubwa sana kwa kijana kuingia kwenye game hii na hata baadhi ya wazazi kuelewa muziki huu.

Kupitia kurasa yake ya Facebook Jay amepost picha akiwa katika studio za Bongo Records inayomilikiwa na Producer mkongwe nchini Tanzania P. Funk Majani wakiwa pamoja na Diamond Platinum.

Amepost picha hiyo pamoja na maneno haya "Ndani ya Bongo Records with the Super dupa producer P - funk Majani and @diamondplatnumz himself Muda Huu # COOKING for all yall'.... kaeni mkao wa kula watu wangu!!!"Hivyo kuna kila dalili ya kuwepo collabo ya wawili hao ambayo inapikwa na P. Funk, vuta picha itakuwaje Msanii mkongwe + Producer Mkongwe + Msanii anaevuma zaidi kwa sasa = Jibu unalo..

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga