Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » KANYE WEST ALIPA ZAIDI YA MILIONI 350 ZA KITANZANIA KWA YULE DOGO ALIYEMWANGUSHIA KICHAPO BAADA YA KUMSEMEA MBOVU KIM K.


Wiki chache zilizopita, ililipotiwa kuwa Kanye West alimshambulia mvulana wa miaka 18 kwenye sehemu ya mapokezi ya ofisi za chiropractor.

Na sasa kwa mujibu wa TMZ, Kanye amefikia makubaliano nje ya mahakama ili kumalizana na kijana huyo kwa kumlipa fidia ya $250. Familia ya kijana huyo mdogo imesema kwamba hiyo ilistahili kulipwa kwa kitendo alichofanyiwa kijana huyo na Kanye.

DC Blog.

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga