Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» »Unlabelled » MTANGAZAJI ‘B 12’ ASHEREHEKEA ‘BETHIDEI ‘ YAKE NA YATIMA SINZA, DAR

  Mmoja wa watoto yatima akiwa amebebwa na Shilole huku akimlisha keki B12.
    Bob Junior akilishwa keki.
  Ni zamu ya Shilole kula keki.
    Watoto wakichukuwa futari.
   B 12 akinawa mikono.
    Keki ya bethidei kabla ya kuliwa.
 B 12 akipanga futari kwenye meza.
   Mwanamuziki Bob Junior na rafiki yake wakifuturu.
   Shilole na mpenzi wake walikuwepo.
   Baadhi  ya zawadi alizokuja nazo B12 ambazo ni  mchele magunia mawili, sukari kilo ishirini na tano na ndoo ya mafuta.
   B12 akimkabidhi mmoja wa viongozi wa kituo hicho zawadi zake
Hapa ni pozi mbele ya kamera.
MTANGAZAJI wa kipindi cha XXL kinachorushwa na  Clouds FM, Hamis Mandi ‘B12’ jana alisherehekea siku yake ya kuzaliwa na watoto yatima wanaolelewa kituo cha Chakuwama kilichopo  Sinza-Mori  jijini Dar.
Akizungumza na mtandao huu muda mfupi kabla ya tukio la kukata keki kufanyika, B12 alisema ameamua kusherehekea siku yake hiyo na watoto hao kutokana na upendo wake kwa watoto.

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga