Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » » DIAMOND PLATNUMZ: AJIWA JUU NA MASHEMEJI "TEAM WEMA SEPETU"


Kinara wa Team Wema Dougiemasta15 huku instagram amefunguka haya kuhusu Diamond:

kiroho safi kaka shemej wala hatugombani..ujue dai ss sote ni waafrica ndio wepesi kuja na conclusion na tunaudhaifu wa kuchunguza ujue shemej wengi tunataman kuamin kuwa hii ni project na surely we will b so proud ila shemej kinamna flan ww huaminiki huwa unakuwa na project nying sana lkn zinaend up kuwa coming soon...

mfano JOKATE ukisema mnashot video sawa lkn matokeo yake unashot hadi behind de scene, penny pia ilikuwa project mwisho wasiku ukamprojectisha, wema nae movie matokeo yake mpaka leo producer sion location mmh kwa style hii kwel shemej kukuamin inakuwa ngumu sana cz hiz coming soon afu zinaend up kuwa coming forever zinatuchosha...inshu ya zari mbona kama umetuchakachua kaka shemej kwanz mlituambia mmekutana kweny ndege which its okey mkakaa siti moja means waliwaandalia siti zenu nyie watu mkijua mtapanda ndege moja still fea labda ndege ilikuwa empty so uka move..then katika kupoteza muda labda ndo mkaona mfanye something together still okey haya mkarud bongo muanze project kama project shemej ww unaimba zari designer na pia nimeskia anaimba not sure ss shemej hizi picha mala upo nyuma ya zari mmekumbatiana mala unamkiss shingoni ndio project yenyewe ss MLIENDA STUDIO LINI NA MKAREKODI LINI NA NYIMBO 


MLIANDIKA LINI MPAKA FASTA MUANZE KUSHOT VIDEO NA HIYO VIDEO HAINA DIRECTOR n mm ckuwahi kuambiwa kama sintah ni mtengeneza video mmmh shemej so you know zari ni mtu mzima ana watoto ana ameachwa na mumewe ana history ya kupenda ndogo ndogo na kuwaaribia maisha...if you lov ur career stick to it ila ukisema ufanye vitu kumkomoa mtu end of time ss ni mashabiki kama tunaweza kukupandisha naiman hata kukushusha tunawez sio kwa ubaya lkn ila his fake promises zako za something big is coming plz ur a business man try to keep ur promic......nitaendelea

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga