Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » ZARI WA AMUWAZA DIAMOND PLATNUMZ BAADA YA KURUDI BONGO


Dakika chache baada ya kuondoka Bongo na kukwaa pipa, bebi mpya wa Diamond, Zari 'The Boss Lady' akiwa ndani ya ndegeZ alionekana mwenye mawazo mazito katika picha alizotupia juzi kwenye fan page yake ya Face Book na Instagram ikisindikizwa na maneno: " miss you already TZ.....deep Mawazu....". Imedaiwa na wadau alikuwa anaamanisha kumkumbuka 'Sukari ya Warembo' zaidi kuliko TZ.....!

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga