Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » » » » DIAMOND PLATNUMZ" ZARI NI PROJECT TU" MKE NI WEMA NA PENNY



Kuhusu picha ambayo yeye na Zari The bosslady, wanaonekana busu, Unajua kwenye muvi kuna watu wanaonekana wanakulana kabisa.Hawana nguo Kabisa, so ukiangalia kwa mtazomo mfupi unaweza kuona walikuwa wanamegana. That's why we said before its project. Project ina vitu vingi. Unajua ilikuwa rahisi kutoka mwanzo kusema project yenyewe ni hii na hii.Lakini ukisema unakuwa unauwa kick ya project. Lazima watu wasubiri kwa heshima na taadhima kama ina dondoka lini. Ila nafikiri muda wake umebaki mchache sana.

Kuhusu wema sepetu na Penny Kupatana mi nafikiri ni kitu kizuri. Wanapokuwa wanapatana ni heri inakuwa inatengeneza mfano bora kufuta zile zama za kijinga na maneno yaliyokuwa yakiandikwa.

Kwa hiyo mimi nafurahi halafu ukizingatia mimi ni muislamu naweza kuoa wanawake wanne.kuhusu kama yeye na Penny Hawapatani tena, sijawahi kupotezana na penny, ni mwanangu sana. Nisiwe mnafiki hata hapa kati kati alikuwa ananipa dili za kazi. Ni mwanangu yani yeye ananiitaga uncle chibu na mimi namuita aunty Penny.

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga