Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » » PENNY NA WEMA WAMDISS DIAMOND KWA KUTUMIA NENO "PROJECT"



Mastaa wawili hapa Bongo ambao huko nyuma walikuwa katika bifu kali, Wema Sepetu na Penny Mwingilwa wameonekana kumkejeli aliyekuwa mpenz wao, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwa kutumia neno Project.
Mastaa hao walionekana wameweka picha yao wakiwa pamoja wamejilaza chini nyumbani kwa Wema  na kuandika kuwa wakiwa katika Project yao neno ambalo lilitumiwa na Diamond akiwa na mwanadada Zarina Hassan  ‘Boss lady’ anayedaiwa kutoka kimapenzi na mwanamuziki huyo.
Gazeti hili lilifanikiwa kuzungumza na Penny kwa njia ya simu ambapo alisema kuwa siku hiyo walikutana na kuzungumza na rafiki yake huyo wa muda mrefu na mambo ya project yalitokea tu.
“Sisi tulimisiana sana na tulikutana na kuzungumza mambo mengi ya zamani, hiyo project iliingia tu,” alisema Penny.

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga