Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » » ALI KIBA MBIONI KUFANYA COLLABO NA CHRISS BROWN


Tanzania unao muongoza msanii kutoka
Tanzania ALI KIBA msanii ambae yupo chini
ya uongozi wa Kampuni za SAMSUNG.... Kwa
taarifa zilizopo katika mtandao wa VIP Beats
nchini marekani zinaeleza kua tarehe 24
mwezi wa 11 mwaka 2014 uongozi wa msanii
Chris Brown ulipokea maombi ya muungano
wa wasanii wawili kufanya wimbo wa
pamoja kati ya msanii
Ali kiba na Chris Brown maombi hayo
yaliambatanishwa na Softcopy zilizobeba
nyimbo tatu za msanii Ali kiba ikiwemo
SINGLE BOY, MWANA pamoja na wimbo
aliofanya katika project ya ONE 8. Uongozi
wa Chris Brown umethibitisha kupokea
taarifa za maombi hayo na umeonesha
kupenda sauti ya msanii Ali kiba na kutoa
tamko kua wapo tayari kusimamia kazi ya
pamoja itakayofanywa na wasanii hawa.
Upande wa msanii Chris Brown amesema
hana tatizo yupo tayari kushirikiana na
msanii Ali kiba kwani alipata nafasi ya
kutazama project ya One 8 na ameona
kiwango cha msanii Ali kiba kinaridhisha
Japokua anahitaji marekebisho madogo
sana.BBC SWAHILI Tunampongeza msanii
Ali kiba kwa juhudi zake tunamtakia kila
lakheri katika kazi hii, kuipata habari hii
kamili tembelea mtandao wa VIP Beats,
Channel 0 au unaweza kuipata katika
American Spring news.

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga