Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » MARIAH CAREY AONESHA KUFURU KWA KUTUMIA MILIONI 41 ZA KI BONGO KUWA BURUDISHA MBWA.




Utafanya nini ukipewa kiasi cha Milioni 41 za kitanzania muda huu? Bila shaka utapanga mengi na wazo kubwa likiwa kuuaga umasikini kwa muda kama hukuwahi kuzishika.
Lakini Mariah Carey ametumia kiasi hiki cha fedha kuwaburudisha mbwa wake kwa kuwapangishia chumba katika hotel ya kifahari, Bristol.
Kwa mujibu wa Daily Mail, Mariah amelipia kiasi cha zaidi ya $25,000 (zaidi ya Milioni 41) ili mbwa wake hao wapewe huduma daraja la kwanza katika hotel hiyo ya kifahari.


Mbwa hao wamepewa chumba chao pekee, wanahudumiwa chakula kizuri kinachopikwa na mpishi wao maalum katika hotel hiyo, watapelekwa kuogelea na kutembezwa katika maeneo mazuri

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga