Hii ndiyo mashine ya kusimamishia matiti na hapa ipo kutumika
Hii sayansi na teknologia sasa inatupeleka pabaya. Hivi karibuni wataalam toka china wameleta mashine maalumu ya kunyanyua matiti (yawe na muonekano wa saa 6) ambayo itawasaidia kina dada/mama wenye maziwa yaliyoanguka au kusinyaa kuwa na muonekano mzuri. Huduma hii imeshaanza kutolewa hapa nchini maeneo ya sinza.Hivi hawa wachina wanatutakia mema kweli?, Je wanaweka wazi madhara yanayoweza kuwapata baadae hao watakaonyanyua matiti yao?, je shughuli hii ina tija kwa watanzania?
Baadhi ya maoni ya watanzania juu ya mashine hii;
1. Hii ni hatari kama hatutakuwa makini,mishipa imepungua nguvu alafu unaisimamisha kwa nguvu'CHUNGA SANA.
2. Dada zangu tuwe makini na hizi mashine zinazokuja,baada ya urembo kinachofuata ni kansa.tujiulize mara mbili kabla ya kwenda huko
3. Utakuta mdada mzima, anajua kuwa tayari 'malapulapu yameshatamalaki, yeye anavaa suruali yake na kitop chake halafu bila sidiria huyooooo anaingia mtaani..........yaani unamuangalia unajiuliza hivi huyu hana mp3nzi amwambie walau avae sidiria? Halafu utakuta anadai eti ana gundu mbona hatokewi! nani akutokee wakati mtu akikuangalia tu 'hamu' yote inaisha!
4. Kutokujiamini tu, kam kupendwa utapendwa tu hata kam una malapa kifuani.Na mbona mazoezi yanasaidia sana? Unaweza ukatengeneza mwili vizuri tu kwa kufanya mazoezi
Titi la mwanamke huyu likiwa limeharibika kutokana na kansa, ambapo madawa mbalimbali na vifaa vya urembo wa wanawake husababisha ugonjwa huu.