Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » MBASHA AGOMA KUZUNGUMZA SAKATA LA MTOTO WAKE NA FLORA



Mwimbaji wa muziki wa injili nchini Tanzania Emmanuel Mbasha

Mwimbaji wa miondoko ya injili nchini, Emmanuel Mbasha hatimaye amefunguka juu ya mtoto ambaye mkewe Flora Mbasha amejifungua na kuweka wazi kuwa, kwa sasa asingependa kusema chochote juu yake mpaka pale wakati muafaka utakapofika.

Mbasha katika mahojiano maalum na eNewz ameongezea kuwa, Mama wa Mtoto vilevile ndiye mtu sahihi wa kueleza ukweli juu ya ni nani baba halisi wa mtoto, huku kwa upande wake akisema ni mapema mno kulizungumza suala hili.

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga