Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » KIBAKA WA BODABODA ACHOMWA MOTO BAADA YA KUSHINDWA KUMPORA MDADA POCHI


Mwendesha bodaboda akiendelea kuteketea kwa moto baada ya kuchomwa na wananchi wenye hasira katika eneo la Mlimani City jijini Dar es Salaam, juzi jioni ambapo alidaiwa kumpora mkoba dada mmoja na kujaribu kukimbia.

Wananchi wenye hasira katika eneo la Mlimani City jijini Dar es Salaam, juzi jioni walimchoma moto mwendesha bodaboda aliyekuwa amempakiza mwenzake ambao wanadaiwa kumpora mkoba dada mmoja na kujaribu kukimbia.

Wawili hao wakiwa kwenye harakati kukimbia wananchi hao waliwazingira ambapo aliyepakizwa aliruka na kufanikiwa kukimbia lakini aliyekuwa akiendesha alidhibitiwa na kupewa kipondo kikali na kuchomwa moto na bodaboda yake.

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga