Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » T.I AMEWEKEA NGUMU ALIYEKUWA MP3NZI WA IGGY AZALEA

 
RAPA T.I. anayepewa hishima ya kumgundua msanii Iggy Azalea amesema mp3nzi wa zamani wa Iggy ‘Jefe Wine’ hana haki ya kupata pesa yeyote kutoka kwa Iggy na muziki wake.T.I. amesema ataacha tatizo la Iggy Azalea lishughulikiwe na wanasheria wake ila haoni sababu ya kijana huyo kupewa pesa za Iggy au kupokea malipo yeyote.
Siku chache nyuma TMZ iliripoti kuwa mp3nzi wa zamani wa Iggy Azalea anasema walifunga ndoa mwaka 2008 na anashahidi ambaye ni daktari walioenda kumuona pamoja walivyokuwa mke na mume. Jefe anataka nusu ya pesa za Iggy Azalea.
Mwezi wa kumi mwaka jana Jefe alitaka talaka kutoka kwa Iggy na kusema waliishi kama mume na mke huko Texas toka September 2008.

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga