Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » WEMA SEPETU AWASHUKIA WABAYA WAKE MTANDAONI


Wema Awashukia wanaosema wanachukia wakati
wanapeleleza anachokiweka mtandaoni!!
Mrembo na mwigizaji wa filamu ambae kwasasa
amekuja kivingine na mwingine, Wema Sepetu
amewatolea uvivu baadhi ya watu wanaosema
hawa mpendi na kumchukia lakini
bado wanapeleleza na kumfualitia kila
anachokiweka mtandao, na kutumia akaunti feki
kumchafua kwa maneno machafu....amewaita jina
baya na kuwambia wanatamani kuwa kwenye
matawi yake....
Nadhani ujumbe umefika!!!

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga