Latest
Tafuta Hapa
Kali za Facebook
Labels
- Agness Masogange (5)
- Aisha Bui (1)
- Ajali (5)
- Ali Kiba (5)
- Aunty Ezekiel (8)
- Baby Madaha (2)
- Batuli (2)
- Bob Junior (2)
- Bongo Flavor (35)
- Bongo Movie (46)
- Chriss Brown (1)
- Dawa za Kulevya (2)
- Diamond Platnumz (47)
- Drake (1)
- Dully Sykes (1)
- Elizabeth Michael (3)
- Escrow (9)
- featured (24)
- Fumanizi (11)
- Gardner (1)
- Geor Davie (1)
- Global Publishers. (18)
- Habari Picha (78)
- Habari za Kimataifa (209)
- Habari za Kitaifa (216)
- Halima Ally (1)
- Hamisa Mobeto (1)
- Huddah Monroe (1)
- Irene Uwoya (3)
- Jacqueline Wolper (4)
- Jamii Forums (79)
- Jokate (1)
- Kajala Masanja (5)
- Lady Jay Dee (6)
- Lilian Kamazima (1)
- Lulu (5)
- Magazeti na Picha (2)
- Mainda (1)
- Maisha (66)
- Malick Bandawe (2)
- Mapenzi (197)
- Maunda Zorro (1)
- Michezo na Burudani (72)
- Miss Tanzania (9)
- Mpira (6)
- Mr Blue (1)
- Muziki (12)
- Mwana Fa (1)
- Ney wa Mitego (1)
- Nyota wa Bongo (120)
- Ommy Dimpoz (9)
- Original Comedy (1)
- P Square (1)
- Picha za Utupu (46)
- Ray C (1)
- Rihanna (1)
- Rose Ndauka (2)
- Sabby Angel (2)
- Shetta (1)
- Shilole (3)
- Sitti Mtemvu (6)
- Udaku Magazetini (37)
- Udaku wa Africa (234)
- Udaku wa Tanzania (253)
- Udaku wa TZ na Africa (21)
- Udaku wa Ulaya (189)
- Ufuska (152)
- Uhuru Kenyatta (1)
- Ujana (35)
- Urembo (11)
- Uswazi. (32)
- Video (9)
- Wasanii (54)
- Wema Sepetu (36)
- Zari The Boss Lady (29)
- Zitto Kabwe (1)
Feature
Udaku wa Africa
Habari za Kimataifa
Habari za Kitaifa
Mapenzi
Michezo na Burudani
Udaku wa Ulaya
WEMA SEPETU NA OMMY DIMPOZ NI FULL KUPIKIANA NA KUPAKUA
Mapenzi, Nyota wa Bongo, Ommy Dimpoz, Wema Sepetu
Wakati mwanamziki wa Bongo Fleva,Ommy Dimpoz akiendelea kupepesa macho na kutikisa masikio kukanusha kuwa hana mahusiano ya kimap3nzi na mwingizaji wa Bongo Movie, Wema Sepetu ukaribu wao bado unatia mashaka na kuendeleza sintofahamu miongoni mwa mashabiki na wapambe wao.
Japo kuwa Ommy alielezakuwa yeye na Wema ni marafiki toka kitambo kabla hata ya wema kuwa na mahusiano na mwanamziki Diamond, lakini hii imezidiii.
Mbali na kuonekana wawili hawa kuwa pamoja sehemu mablimbali za starehe toka Ommy atoke Marekani, hili la kupikiwa na kupakuliwa nyumbani kwa Wema ndio limezidi kuchochea hisia kuwa wawili hao wanamahusiano zaidi ya USHKAJI.
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram mwanadada Wema ambae na folloers zaidi ya laki nne , alibandika picha hiyo hapo juu akionekana kumpakulia chakula ambacho alijisifia ni kizuri na amekipika mwenyewe na kumtania Ommy kuwa alikuwa analeta pozi kwenye kula.
“Dat moment anapokuja home and umepika chakula alafu analeta pozi at first then unashangaa anaenda sahani mbili.... Talk About Good Food Made Real Good”- Wema aliandika mara baada ya kutupia picha hiyo.
Japo kuwa hadi sasa mwanadada Wema Sepetu ajajitokeza kukataa au kukubali juu ya yeye kuwa na mahusiano na Ommy lakini idadi kubwa ya wampambe wake mitandaoni na ifagilia sana hii “Couple”.
KUMBE DIMPOZ NI KUWADI WA KIGOGO ANAE MMILIKI WEMA SEPETU KWA SASA.
Mapenzi, Nyota wa Bongo, Ommy Dimpoz, Wema Sepetu
HABARI ya mjini ni kwamba, lile p3nzi linalonadiwa la Mbongo-Fleva, Omary Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ na mwigizaji Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ limejaa magumashi, ikidaiwa kuwa jamaa huyo kawekwa kama boya tu, nyuma yake kuna kigogo mzito serikalini ndiye anayekula vinono, Risasi Jumamosi limetonywa.
“Kutokana na unyeti wa kazi yake, jamaa hataki kujitokeza ‘front’ ndiyo maana ameamua kumtumia Dimpoz kama kanyaboya huku yeye akiendelea kula vyake,” kilisema chanzo hicho.Kikizidi kumwaga ubuyu, chanzo hicho kilidai kigogo huyo ndiye anayedhamini safari zote za Wema na Dimpoz nje ya nchi ikiwemo ile ya juzikati nchini Marekani ambayo ilibuma.
“Jamaa ana pesa chafu, amemnunulia Wema viwanja viwili kimoja kipo Tabata na kingine Kigamboni, Dar, ndiye anayemwezesha Wema katika shughuli zake za kila siku.“Kigogo huyo ndiye chanzo cha Wema kummwaga Diamond, alimpotezea kwa sababu ya maslahi zaidi, hata kwenye bethidei ya Wema mwaka jana, kigogo huyo ndiye aliyegharamia vitu kibao hadi kusababisha Diamond ahoji,” kilisema chanzo chetu.
Mwanahabari wetu alipomvutia waya Wema, alijibu kwa kifupi na kukata simu:
“Ujue sasa hivi mimi sitaki malumbano na mtu, najua kila mtu siku hizi anaongea kila anachojisikia, naomba niachwe na maisha yangu, unayoyasema hayana maana, wanasema kwa sababu hakuna anayemjua mp3nzi wangu wa sasa sina muda wa kubishana.”
Hivi karibuni, wakiwa Sauz, Wema na Dimpoz, picha zao wakiwa kimahaba zilivuja mitandaoni hivyo kuibuka gumzo kuwa huenda kwa sasa nao wanatoka.
OMMY DIMPOZ AFANYIWA KITU MBAYA NCHINI MAREKANI, AISHIA AIRPORT NA KURUDISHWA BONGO FASTAA.
Nyota wa Bongo, Ommy Dimpoz, Udaku wa Ulaya
Safari ya Ommy Dimpoz kuelekea Vegas, Marekani kwa ajili ya kupiga show imeishia airport ya marekani, baada y akuzuiliwa kuingia Marekani na kurudishwa na ndege inayofata.Habari zilizotufikia ni kuwa Dimpoz amerudishwa na kukataliwa kuingia ndani ya Marekani kwa kushindwa kufata msharti ya visa, ambapo visa aliyosafiria ilikuwa sio visa inayomruhusu kufanya show, na hivyo kumtilia shaka.
Baada ya kuongea na meneja wake Mubenga amesema, yeye mwenyewe hajui kinachoendelea na alijaribu kumtafuta bila mafanikio na sio kawaida ya Ommy kutokumjulisha kama amefika katika safari zake.
" tangia tulivyoachana ile Ijumaa nilivyompeleka airport, hatujawasiliana mpaka leo asubuhi ndio amenitumia meseji, kwasababu mi mwenyewe nilikuwa namtafuta simpati, kwahiyo na mi mwenyewe nilikuwa na wasiwasi sababu sio kawaida yake, siku zote waga akisafiri anapofika tu lazima aniambie kwamba amefika salama sasa safari hii nimeona kimya......Ila leo asubuhi kwenye majira ya saa tatu amenicheki kuwa yupo njiani anarudi, anaingia leo usiku kwahiyo mpaka kesho mtakuwa na majibu, hajanieleza kwanini, aaaah mi nnachojua yeye anavisa ya marekani ya mwaka mmoja ya kufanya kazi" amesema Mubenga.
OMMY DIMPOZ AMBULIA MANENO MAKALI BAADA YA KU POST PICHA YA CCM
Ommy Dimpoz, Udaku wa Tanzania
Katika hali inayoashiria kuwa ukikisapoti CCM ni kama Kosa kwa Baadhi ya watu. Msanii Ommy Dimpoz amepost postaz ya show ilivyoandaliwa na CCM huko marekani. Lakini kaishia kupata matusi na upungufu wa......Like ambazo hupata elfu 3 mpaka 3500 kwa saa.Lakini post hii kapata 1800 tu.
Wengine Wamuonya Kutochangua Upande kwenye Siasa Kisije kikamtokea kama kilichomtokea Marlaw ambae alitumiwa na CCM wakati wa Uchanguzi 2010 na mpaka leo amepotea moja kwa moja mashabiki wamemtupa.
Baadhi ya COMMENTS kutoka kwa Mashabiki wake baada ya kuweka picha hiyo hizi Hapa:
lukasndayase
omindipos ccm haifai mwanangu ww posti chadema mkuu
george_moses
Wewe brother umechanganyikiwa kweli rafiki yangu toa hilo picha weka hata katuni
mwanja60
Mmeisha anza kuhongwa na mafisad mulizen MALOW
mikidadiyusuph
happo umeyumba chama cha.wez hicho watz hatukitaki
kileju
umeishiwa mipango sasa unaanza kuji komba komba kama maisha yamekushinda rudi shamba ukafuge ngedere boya wwe
doreen_don
Supporting th dying horse!!!
KUVUJA KWA PICHA ZA KITANDANI, DIMPOZ ATAKA AULIZWE WEMA SEPETU.
Diamond Platnumz, Nyota wa Bongo, Ommy Dimpoz, Wema Sepetu
Zile picha za mahaba zilizosambaa kwenye mitandao zikimuonyesha Staa wa Bongo Fleva,Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kitandani zimezidi kuzua utata baada ya Ommy kusema hakujua alipigwa saa ngapi kwani hakuwa na fahamu bali aulizwe Wema.
Ommy akizungumza katika kipindi cha Uheard na Soudy Brown amesema kuwa hana maelezo zaidi ya kuzungumza zaidi ya kusema kuwa hajui ni muda upi zilipigwa picha hizo.
Wiki hii picha hizo zilisambaa mitandaoni na kuzua maswali kuwa Ommy Dimpoz ameamua kujiweka kwa Wema baada ya kuachana na aliyekuwa mp3nzi wake Diamond Platinum.
Hata hivyo, Aunty Ezekiel ambaye ni rafiki wa Wema amesema kuwa rafiki yake huyo alikwenda nchini Afrika Kusini kufanya video mpya ya ngoma ya Ommy.
Wiki hii pia picha nyingine zilisambaa Wema akiwa na aliyekuwa mume wa Zari wakiponda raha nchini humo na kuzua sintofahamu.
Subscribe to:
Posts (Atom)
Popular Posts
-
Miongoni mwa kampuni kubwa za Movie za Ngono zimejipanga kwenda Mahakani kupinga pendekezo la Sheria mpya ya kuwataka wahusika wake kuvaa...
-
Pengine baadhi yetu tumewahi kuisikia au kuona mambo ya baikoko. Ni mitindo ya kunengua na kukata mauno kwa wenyenji wa Tanga wanajua zaidi....
-
Baada tu ya chumba cha binti huyu ambaye ni mtoto wa mjomba tunayeishi nae hapo nyumbani kuna chumba cha kujisomea ambacho mara nyingi huwa ...
-
--> Picha hizo zimepigwa katika mikesha ya miziki ya usiku, maarufu kama Vogodoro, angalia jinsi mabinti hao walivyokosa nidhamu na...
-
Ingawa Yamesemwa mengi katika mitandao mbali mbali kuhusiana na kufumwa kwa picha hizo, ukweli ni kwamba picha hizo hazikufumwa bali ziliwe...
-
Hebu jionee mwenyewe picha ya bi mkubwa huyo, udenda unamtoka akilazimisha kutoa "nanii" ya huyo mvulana ili "ampige mambo ye...
-
Kijana Jack Wall, 22, amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kumpiga na kumuua aliyekuwa Mpenz wake, Amelia ...
-
STAA wa filamu za Kibongo, Blandina Chagula (pichani) maarufu kama Johari, hivi karibuni alidaiwa kuonekana akiingia nyumbani kwa mganga w...
-
Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), bila shaka mko vizuri mnaendelea kusimamia jukumu zito katika taifa letu.Usajili, Ufilisi na ...
Labels
Agness Masogange
Aisha Bui
Ajali
Ali Kiba
Aunty Ezekiel
Baby Madaha
Batuli
Bob Junior
Bongo Flavor
Bongo Movie
Chriss Brown
Dawa za Kulevya
Diamond Platnumz
Drake
Dully Sykes
Elizabeth Michael
Escrow
featured
Fumanizi
Gardner
Geor Davie
Global Publishers.
Habari Picha
Habari za Kimataifa
Habari za Kitaifa
Halima Ally
Hamisa Mobeto
Huddah Monroe
Irene Uwoya
Jacqueline Wolper
Jamii Forums
Jokate
Kajala Masanja
Lady Jay Dee
Lilian Kamazima
Lulu
Magazeti na Picha
Mainda
Maisha
Malick Bandawe
Mapenzi
Maunda Zorro
Michezo na Burudani
Miss Tanzania
Mpira
Mr Blue
Muziki
Mwana Fa
Ney wa Mitego
Nyota wa Bongo
Ommy Dimpoz
Original Comedy
P Square
Picha za Utupu
Ray C
Rihanna
Rose Ndauka
Sabby Angel
Shetta
Shilole
Sitti Mtemvu
Udaku Magazetini
Udaku wa Africa
Udaku wa Tanzania
Udaku wa TZ na Africa
Udaku wa Ulaya
Ufuska
Uhuru Kenyatta
Ujana
Urembo
Uswazi.
Video
Wasanii
Wema Sepetu
Zari The Boss Lady
Zitto Kabwe












