Miss Tz 2012 Brigitte Alfred, aruka Kagera kwa ajili ya shughuli za kijamii! Mrembo anatarajia kutembelea maeneo kadhaa akiwa mkoani humo katika utekelezaji wa kazi za taji lake hilo. Tunamwombea kila la kheri akiwa huko, apige kazi kama inavyotatikana na arudi jijini Dar Salama. Big Up Big Sis!
Share !
Tagged with:
About Unknown
Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.