-->
Mapaka sasa inasemekana wameshafariki watu wawili baada ya Ndege aina ya Boeing 777 ya Kampuni ya Asiana Airlines iliyokuwa inatoka Seoul, Korea Kusini Kuanguka wakati inatua majira ya jioni ya leo katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa San Francisco
Angalia video hapo chini:-