Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » Eliwood, Mbwa Mwenye Sura Mbaya Kuliko wote, Afariki Dunia


Mnamo mwaka 2007, Karen Quigley alijipatia umaarufu wa aina yake na fedha pia pale mbwa wake ambaye alitokana na mchanganyiko wa mbegu ya chihuahua na Crested ya kichina iloimfanya mbwa huyo atoke na sura mbaya na ya aina yake.

Karen alipanga kumstaafisha matamasha ya hadhira mbwa huyo mnamo mwisho wa mwaka huu , kwa bahati mbaya Elwood alifariki ghafla leo asubuhi  akiwa na umri wa miaka 8.


About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga