Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » PICHA ZOTE JINSI ROSE MUHANDO ALIVYOZINDUA ALBAMU YA PINDO LA YESU JANA

Rose Mhando akicheka wakati wa uzinduzi wa albamu yake.  Nyuma ni  waimbaji wake.
Mchungaji Maboya akitoa neno katika uzinduzi huo.
Watu waliofurika katika tukio hilo.
Waziri mkuu mstaafu Fredrick Sumaye (kushoto) akizindua albamu hiyo, pembeni  ni Promota wa Muziki wa Injili, Alex Msama.
Mwimbaji Sarah K (kushoto) wa Kenya akiwa na Upendo Nkone.
Emmanuel Mbasha (wa pili kushoto) Upendo Kilaheni pamoja na wadau wengine wakiwa katika pozi.
Waziri mkuu mstaafu Fredrick Sumaye akiwa ameshika album ya ‘Pindo la Yesu’.
Waumini na mashabiki wa Rose Mhando wakipiga makofi.
Sumaye akiwa na Alex Msama (katikati)  na Rose Muhando.
Waziri mkuu mstaafu Fredrick Sumaye na mkewe wakifuatilia uzinduzi huo.
Mwandishi  wa mtandao huu, Gabriel Ng'osha, na Sarah K.
MWANAMUZIKI, Rose Mhando jana amefanya kweli kwa kuwapa mashabiki wa nyimbo za Injili utamu wa Yesu alipozindua albamu ya Pindo la Yesu  katika ukumbi wa Diamond Jubilee  ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu Mstaafu,
Frederick Sumaye na wasanii mbalimbali akiwemo Sarah K kutoka Kenya,  Ephraim kutoka Malawi,  na wale wa hapa nchini wakiwemo Upendo Nkone, Emmanuel Mbasha, Upendo Kilaeni na wengine.
Katika hafla hiyo Sumaye alitoa ujumbe wa kuitaka Tume ya Uchaguzi ya Taifa na Watanzania kuwa makini ili kuwepo uchaguzi wa haki katika uchaguzi mkuu mwaka kesho.

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga