Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » » » DIAMOND PLATINUMZ, AKAMILISHA TAKEU KWA KUWA NA MADEMU EAST AFRICA


Stori: Hamida Hassan
Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ amekamilisha ‘TAKEU’ kwa mademu baada ya kufanikiwa kutembea na mademu wanaosifika kwa uzuri kutoka Tanzania, Kenya na Uganda.
Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’.
Historia inaonesha dogo huyo kutoka Tandale aliwahi kufanya kazi na msanii mrembo kutoka nchini Kenya, Avril na ikadaiwa licha ya kukutana kikazi jamaa alimsaliti mpenz wake wa enzi hizo, Penniel Mwingilwa.
Beautiful Onyinye, Wema Sepetu.
Aidha, Diamond amekuwa mpenz wa Beautiful Onyinye, Wema Sepetu kwa muda mrefu kabla ya hivi karibuni wawili hao kuamua kupeana likizo.
Mdada anayetisha kwa uzuri na mkwanja nchini Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari’.
Katika kukamilisha TAKEU ambayo ni staili ya muziki ya Msanii Nice Lucas ‘Mr Nice’ inayogusa nchi hizo za Afrika Mashariki, Diamond juzikati alimnasa mdada anayetisha kwa uzuri na mkwanja nchini Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari’ na kufanya naye project ambapo inadaiwa wawili hao walivuka mipaka na kupeana penz.

About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga